# Laan ya Yahwe ipo juu ya mtu mwovu "Yahwe ameilaani familia ya mtu mwovu" # Huibariki maskani ya watu wema "huzibariki familia za watu wema" # huwapa fadhila watu wanyenyekevu "huonyesha fadhila kwa watu wanyenyekevu" au "ni mkarimu kwa watu wanyenyekevu"