# ... wala usicahague moja ya njia zake "usichague kuiga njia yake yoyote" # mtu mjanja ni chukizo kwa Yahwe "Yahwe humchukia mtu mjanja" # mtu mjanja mtu wenye dharau au mdanganyifu # mtu mwaminifu humpeleka katika ujasiri "Yahwe ni rafiki wa karibu kwa waaminifu"