# Wafilipi 01 Maelezo kwa ujumla ## Muundo na mpangilio Paulo anajumuisha sala mwanzoni mwa barua hii. Wakati huo viongozi wa kidini walianza barua zao zisio rasmi na sala. ## Dhana Maalum katika sura hii ### Siku ya Kristo Labda inaashiria wakati Kristo atakaporudi. Paulo aliunganisha kurudi kwa Kristo kwa kutia nia ya kuishi maisha ya kumcha Mungu. ## Tafsiri zingine zenye utata katika sura hii ### Kitendawili Kitendawili ni kauli ya ukweli inayaonekana kuelezea kitu kisichowezekana. Kauli hii katika mstari wa 21 ni kitendawili "Kufa ni faida." katika mstari wa 23, Paulo anaelezea ni kwa nini huu ni ukweli. (Wafilipi 1:21). ## Links: * __[Philippians 01:01 Notes](./01.md)__ * __[Philippians intro](../front/intro.md)__ __| [>>](../02/intro.md)__