# Ni haki kwangu "ni sahihi kwangu" au "ni vizuri kwangu" # nimewaweka moyoni wangu "ninawapenda sana" # mmekuwa washirika wenza wa neema "mmefanyika washiriki wa neema pamoja nami" au "kushiriki katka neema pamoja" # Mungu ni shahidi wangu "Mungu anajua" au "Mungu anafahamu" # katika undani wa huruma ya Kristo Yesu. Kirai "katika undani wa huruma" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "upendo." "na ninawapenda kama Yesu Kristo alivyotupenda mno sisi sote"