# Lakini sikutaka kufanya jambo lolote bila ridhaa yako "Lakini sikutakutaka kumweka yeye hapa bila idhini yako" au "Lakini nilitaka awe pamoja nami kama wewe umekubali" # hivyo kila jambo zuri ulilofanya si kwa sababu nimekulazimisha hivyo kila jambo jema utakalofanya, si kwa sababu nakulazimisha." # lakini kwa sababu ulitaka kufanya "kwa sababu uliwa huru kuchagua kufanya jambo lililo jema" # labda kwa sababu mlitengwa naye Hii yaweza kutafsiriwa hivi "Labda ni sababu ya Mungu kumpeleka Onesmo awe mbali nawe." # kwa wakati "kwa muda huu" # bora zaidi ya mtumwa "ana thamani zaidi ya mtumwa" # ndugu mpendwa "ndugu mpendwa" au "ndugu wa thamani katika Kristo" # zaidi sana kwako "anamaanisha zaidi sana kwako" # kibinadamu uhusiano wa kibinadamu unaweza kuonekana wazi: "kwa sababu yeye ni mtumwa wenu" "kama mtu" au "uhusiano wa kibinadamu." # na katika Bwana "na kama ndugu katika Bwana" au na kwa sababu yeye ni mali ya Bwana."