# basi chochote ambacho kitatoka katika kinywa chake "basi chochote atakachosema" # Havitakuwa na nguvu Tazama 30:6 # BWANA atamfungua "BWANA atamsamehe kwa kutotimiza viapo vyake"