# walihesabiwa na Musa na Eliezeri yule kuhani "ambao Musa na Eliezeri waliwahesabu" # aliyehesabiwa na Musa na Haruni "Ambaye Musa na Haruni waliwahesabu" # wana wa uzao wa Israeli walipohesabiwa "walipowahesabu wana wa uzao wa Israeli"