# Taarifa kwa umumla Tazama 26:5 # Huu ndio uzao wa Yusufu "Hawa walikuwa wazao wa Yusufu, wazao wa wana wakeambao ni Manase na Efraiimu" # uliohesabiwa toka kila koo "waliwahesabu kutoka katika kila ukoo wao"