# kwa kuwadanganya "kwa kukudanganya wewe" # waliwaongoza katika uovu "Waliwashawishi ninyi kufanya uovu huu" # swala la Peori ... kwa swala la Peori Virai hivi vinamaanisha kuwa vitu hivi vyote vilitokea pale Peori. # Peori Tazama 23:28 # amabye aliuawa "ambaye Finehasi alimwua"