# Balaamu mwana wa Beori Tazama 22:5 # ambaye macho yake yamefumbuliwa Tazama 24:2 # aliye na maaarifa toka kwake yeye aliye juu "Anayejua vitu ambavyo Mungu aliye juu ameyafunua" # humpigia magoti Hii ni ishara ya kujitoa kwa Mungu