# Nani awezaye kuyahesabu mavumbi ya Yakobo au hata kuhesabu robo ya Israeli? "Hawa Waisraeli ni wengi mno kuwahesabu. Hakuna awezaye kuwahesabu hata robo kwa sababu ni wengi mno" # kifo cha mtu mwenye haki "kifo cha amani cha mtu mwenye haki" # mtu mwenye haki ... uwe kama wake Hizi ni semi zinazowaongelea Waisraeli kuwa kama mtu mmoja.