# Je, mimi sina mamlaka ya kusema chochote "Lakini sinsa mamlaka yakusema chochote ninachotaka" # maneno ambayo Mungu ameweka kinywani mwangu "ujumbe ambao Mungu ananitaka niuseme" # Kiriathi Huzothi Haya ni mjina ya miji # baadhi ya hiyo nyama "baadhi ya hiyo nyama kutoka kwenye ile sadaka"