# Mungu akaja kwa Balaamu "Mungu akaonenkana kwa Balaamu" # Ni akina nani hawa waliokuja kwako? "Niambie juu ya watu hawa waliokuja kwako" # Tazama hawa watu ... kuwafukuza. Tazama 22:5 # Kuwafukuza "kuwaondosha"