# Tumemnung'unikia Musa na wewe "Tumesema mabo mabya juu ya BWANA na wewe" # Tu Kiwakilishi "tu" kinawakilisha watu wa Israeli bila kumjumuisha BWANA na Musa.