# Sentensi unganishi Muungu anaendelea kuongea na Haruni # Na miongoni mwa watu wa Israeli hawa hawatakuwa na urithi. "Hawatakuwa na ardhi yeyote ambayo watu wengine wa Israeli watapewa" # kuwa urithi wao "kama sehemu ambayo ninawapa Waisraeli wote"