# ili niwaangamize "ili kwamba niweze kuwaangamkiza" # wakalala chini kifudifudi Hii inaonyesha kuwa Musa na haruni walijinyenyekeza mbela za Mungu. # hasira hii inatoka kwa BWANA "BWANA antuonyesha hasira zake"