# Kwa hiyo wale wanume ... waliomlalamikia Musa Matukio y a yaliyo kwenye 14:36 yamepangwa ili kwamba maana ieleweke kwa urahisi zaidi. # walikufa kwa tauni mbele ya BWANA "walikufa mbele ya BWANA kwa tauni ambayo aliileta"