# Sentensi unganishi BWSANA anaendelea kuongea na Musa # kwa sababu alikuwa na roho nyingine neno "roho" linawakilisha mtazamo. "kwasababu alikuwa tayari kumtii Mungu" au "kwa sababu alikuwa na mtazamo tofauti."