# Jeshi lililoweka kambi mahali pa bango la Uzao wa Dani Hii k ambi ilikjumuisha kabila la Dani ambalo ni: Dani, Asheri, na Naftali. # Ahizeri mwana wa Aminadamu Tazma 1:12 # Pagieli mwana wa Okrani Tazama 1:12 # Ahira mwana wa Enani Tazama 1:12