# Gerishoni ... Merari Tazama 3:17 # jeshi la mahali pa kambi ya Reubeni Hii inamaanisha majeshi ya kabila yaliyo chini ya kikosi cha Reubeni: Yaani Reubeni, Simioni, na Gadi. # Elizuri m wana wa Shedeuri Tazama 1:4 # Shelumieli mwana wa Zurishadai Tazama 1:4 # Elisafu Tazama 1:4