# Nanyi mtakapoenda vitani ... wanaowakandamiza "Waisraeli wanapokuwa vitani ... kwa wale wanaowakandamiza Waisraeli" # ndipo mtakapotoa sauti ya ishara ya tarumbeta "basi utawaamuru makuhani kupiga sauati ya tarumbeta " # nitawaita na kuwakumbuka Kirai cha " kuwaita" kinamanisha kuwakumbuka. "Nitawakumbuka"