# Uwatakase. Uwatoe kuwasadaka ya kutikiswa "Lakini uwatakase kwanza, utawatakasa. utawatoa kama sadaka ya kutikiswa" # Utawatoa kuwa sadaka ya kutikiswa "Utawaweka wakfu kwangu kuwa sadaka ya kutikiswa,kama vile unavyofanya wakati wa kutoa sadaka ya kutikiswa"