# Siku ya nane "siku ya 8" # Gamalieli mwana wa Pedazuri Tazama 1:10 # sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 Tazama 7:130 # bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini Tazama 7:12 # kwa kipimo cha mahali patakatifu Tazama 7:12 # unga mwembamba uliochanganywa na mafuta Tazama 7:19 # bakuli moja la dhahabu lenye uzani wa shekeli kumi Tazama 7:12