# Siku ya nne "siku ya 4" # Elizuri mwana wa Shedeuri Tazama 1:4 # Sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 Tazama 7:12 # Bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini Tazama 7:12 # Kwa kipimo cha mahali patakatifu Tazama 7:12 # unga mwembamba uliochanganywa na mafuta Tazama 7:19 # bakuli moja la dhahabu lenye uzani wa shekeli kumi Tazama 7:12