# awaangazie nuru ya uso wake Hii ninahau inayomanisha "BWANA atoe tabasamu lake" # awatazame kwa neema "akuonyeshe neema" # BWANA awaangazie nuru ya uso wake ...na awape amani Kiwakilishi cha "a" ni cha umoja # wanaweza kuwapa jina langu "watawafanya watu wa Israeli wajue kuwa wao ni wangu"