# Atazitoa sadaka zake za dhambi kiwakilishi "a" kinamaanisha kuhani. Na kiwakilishizake "zake" kinamlenga yule mtu anayetoa kiapo. # sadaka ya amani "kuwa sadaka ya amani" # Pia kuhani atatoa ... sadaka ya vinywaji "Pia kuhani atazitoa ... sadaka za vinywaji kwa BWANA"