# Sasa Mwandishi analitumia neno "sasa" ili kuonyesha anavyoanza kueleza habari nyingine. # Nadabu, mzaliwa wa kwanza "Nadabu, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza" # Nadabu ... Abihu ... Ithamari Haya ni majina ya wanaume