# Taarifa kwa ujumla BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania. # Wote waliohesabiwa kwenye kambiya Dani walikuwa 157,600 "Idadai ya wanaume waliohesabiwa kwenye kambi ya Dani ni 157.600