# Taarifa kwa ujumla BWANA anaenedelea kumwambia Musa mahali ambapo kila kabila na jeshi lao litakapoweka kambi kuizunguka hema ya kukutania. # Katika kundi lao Tazama 2:1 # Elizuri mwana wa Shedeuri Tazama 1:4 # 46,500 "wanaume 46,500"