# Taarifa za jumla Katika aya hizi, Nehemia anaendelea kuandika majina ya watu walio saini hati iliyofunikwa. # Pelatia...Hoshea....Pilha, Shobeki....Hashabna...Ahia.... Anani.... Harimu..... Baana. Haya ni majina ya wanaume . # Hanani Hili mi jina la mwanaume. kama ilivyo tafsriwa katika 7:46 # Hanania Hili mi jina la mwanaume. kama ilivyo tafsriwa katika 8:4 # Hanania Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafsriwa katika 3:8 # Hashubu.....Haloheshi Haya ni majina ya wanaume. kama ilivyo tafsiriwa katika 3:11 # Rehumu Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafsriwa katika 3:16. # Maaseya Hili ni jina la mwanaume. kama ilivyo tafsriwa katika 3:22. # Maluki, Harimu Haya ni majina ya wanaume. Kama ilivyo tafsriwa katika 10:4 # Baana Hili ni jina la mwanaume. Kama ilivyo tafsriwa katika 7:6.