# Taarifa za jumla Katika aya hizi, Nehemia anaendelea kuandika majina ya watu walio saini hati iliyofunikwa. # Buni Hili ni jina la mtu. kama ilivyo tafsiri katika 9:3. # Azgadi, Bebai Haya ni majina ya wanaume. kama ilivyo tafsiriwa katika 7:15. # Adoniya....Azuri....Nobai......Magpiashi....Heziri....Yadua Haya ni majina ya wanaume. # Bigwai Hili ni jina la mtu. kama ilivyo tafsiri katika 7:6 # Adini, Ateri, Hezekia......Hashumu Haya ni majina ya wanaume. kama ilivyo tafsiriwa katika 7:19 # Hodia Hili ni jina la mtu. kama ilivyo tafsiri katika 8:6 # Besai, Harifu Haya ni majina ya wanaume. kama ilivyo tafsiriwa katika 7:23 # Anathothi Huli ni jina la mwanaume. kama ilovyo tafsiriwa katika 7:27 # Meshulamu....Meshezabeli, Sadoki Haya ni majina ya wanaume. kama ilivyo tafsiriwa katika 3:3