# Sentensi Unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # Uri wa Wakaldayo "Uri, ambapo kundi la Wakaldayo liliishi" # Uliona moyo wake ulikuwa mkamilifu mbele yako Moyo, ndani ya mtu, inawakilisha mtu. AT "Uliona kwamba alikuwa mwaminifu kabisa kwako" # Wakanaani..... Mhiti...... Mwamori..... Perizi......Myebusi.......Wagirgashi majina ya kundi la watu