# Sentensi unganishi Nehemia anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. # Harimu...Yeriko...Lodi, Hadidi na Ono...Senaa Haya yote ni majina ya wanaume.