# Sentensi unganishi Nehemiya anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. # Besai.....Harifu...Gibeoni Haya ni majina ya wanaume. # Bethlehemu na Netofa Haya ni majina ya maeneo huko Yuda