# Sentensi unganishi Nehemiya anaendelea kuandika idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. # Binnui....Bebai....Azgadi....Adonikamu Haya ni majina ya wanaume.