# Sentensi unganishi Nehemia anaelezea idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. Watu walikusanywa na familia kulingana na jina la baba zao. Nambari inawakilisha idadi ya wanaume katika kila familia. # Paroshi...Shefatia... Ara Haya ni majina ya wanaume.