# Munaona shida Hapa "ni" wingi, akimaanisha watu wote waliotajwa katika 2: 15. # milango yake imeharibiwa kwa moto Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "jinsi adui zetu walivyoharibu milango yake kwa moto" # hivyo hatuwezi tena kuwa na aibu "hivyo hatuwezi tena kuona aibu" # mkono mzuri wa Mungu wangu ulikuwa juu yangu 'Mkono mzuri" wa Mungu unawakilisha "neema yake." AT "neema yangu Mungu ilikuwa juu yangu" # kuinuka na kujenga Huu ndio idiami. AT "kuanza kujenga'" # Kwa hiyo wakaimarisha mikono yao kwa ajili ya kazi nzuri. Maneno ya "kuimarisha mikono yao" inamaanisha kujiandaa kufanya kitu. AT "Hivyo wameandaa kufanya kazi hii nzuri"