# kisaha akasema Nehemiya anasema yale aliyoomba. AT "Ndipo nikamwambia Bwana" # wale wanaokupenda na kushika amri zake Kwa kuwa Nehemia anazungumza na Yahweh, matamshi "yeye" na "yake" yanaweza kutafsiriwa kama "wewe" na 'yako." AT "ambaye anakupenda na kushika amri zako"