# wachungaji "wachungaji" hawa ni watawala wa watu wa Ashuru. # Ni nani aliyejiepusha kwa uovu wako wa daima? TN: "Mfululizo wa matendo yenu maovu yamewaumiza watu wengi na mataifa"