# Maelezo ya jumla Nahumu anaendelea kuelezea uharibifu wa Ninawi katika shairi ambalo lilianza kwenye 1:1. # mji uliojaa damu Askari wa Ninawi waliwaua watu wengi. TN: "Mji unahusika juu vifo vya watu wengi"