# pango la simba Ninawi inalinganishwa na pango la simba kwa sababu ni sehemu ambayo wauwaji wanaishi na sehemu ambapo wanaweka vitu walivyoiba kutoka kwa watu waliowaua. # alirarua "kabwa" simba wameng'ata makoo ya wahanga ili kuwazuia wasipumue. # kulijaza pango lake mawindo, makao yake kwa mizoga iliyoraruliwa Mafungu haya mawili yanasema jambo jambo moja kwa njia tofauti. Pango ni sehemu ya simba kujificha, mara nyingi huwa ni shimo.