# Yahwe Hili ni jina la Mungu ambalo alilifunua kwa watu wake katika Agano la Kale. # hatakuwa na namna ya kuacha kuwahesabia hatia adui zake Hii inamaanisha kwamba Yahwe atawahukumu na kuwaadhibu adui zake wasipomtii yeye.