# Maelezo ya jumla Nahumu anaelezea uharibifu wa Ninawi katika shairi. # Maono kuhusu Ninawi. Ujumbe kutoka kwa Mungu kuhusu mji wa Ninawi. # Mwelkoshi. Mtu kutoka kijiji cha Mwelkoshi.