# akachukuliwa juu mbinguni na ameketi Hii inaweza kuwa kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu alimchukua juu mbinguni, na ameketi" # mkono wa kuume wa Mungu "sehemu ambapo Mungu umpe kuketi kwa heshima na nguvu" # kulithibitisha neno "kulionyesha kuwa maneno yake, ambayo yalikuwa yakizunguzwa, yalikuwa kweli"