# Sentensi unganishi Yesu anaonekana mara ya kwanza kwa Mariamu Magidalena, ambaye anawambia wanafunzi, kisha anajitokeza kwa wengine wawili kama wanavyokuwa wakitembea, na badae anatokea kwa wanafunzi kumi na mmoja. # siku ya kwanza ya juma "jumapili" # Walisikia "Walimsikia Mariamu Magidalena akisema"