# Amefufuka! Malaika kwa mkazo anatangaza kuwa Yesu amekwishafufuka. Hii inaweza kutofasiriwa katika kauli tendaji. "Alinuka!" au " Mungu alimwinua kutoka mauti!"