# Sentensi unganishi Yesu anatoa mifano mifupi hapa kuwakumbusha watu kufahamu lini mambo aliyokuwa anaongelea yanatokea # tawi liwezavyo kutoa Kifungu "tawi" urejea kwa matawi ya mtini. "matawi yake yanaweza kutoa" # kutoa "ukijani na laini" # kuweka majani Hapa majani ya mtini yanaongelewa kama yalikuwa hai na yanaweza kuwa tayari kusababisha majani yake kukua. "majani yake huanza kuchipua" # kiangazi sehemu ya mwaka ni joto au majira ya kukua # mambo haya Hii inarejea kwa siku za mateso. "mambo haya nimekwisha kueleza" # yuko karibu "Mwana wa Adamu yuko karibu" # karibu na malango Nahau hii inamaanisha kwamba yuko kairba na karibu ameshafika, urejea kwa msafiri kuwa karibu kufika katika mlango. "na yuko karibu hapo"