# kwao "kwa wanafunzi wake" # kuwapotosha Yesu anawaonya wanafunzi wake wasidaganywe na yeyote nini kitatokea. Hapa"kuwapotosha" ni mfano wa kudanganya. # kwa jina langu Maana talajiwa ni 1)kudai mamlaka yangu" au 2) kudai kuwa Mungu amewatuma" # Mimi ndiye "Mimi ni Kristo" # watawapotosha wengi Hapa "kuwapotosha" ni mfano ukimaanisha kudanganya. "nitawadanganya watu wengi"