# Kwa mamlaka gani mnafanya mambo haya Maneno "mambo haya" yanalejea kwa Yesu kupindua meza za wauzaji hekaluni na kuzungumza dhidi ya vitu walivyofanya na walichofundisha. # Kwa mamlaka gani mnafanya mambo haya, na ni nani aliyewapa ninyi mamlaka ya kuyafanya. "Hamna mamlaka kufanya mamba haya kwa sababu hatujawapa ninyi mamlaka."