# Sentensi unganishi Hii ilitokea wakatik Yesu na wanafunzi wake wanatembea kuelekea Yerusalemu. # kama angeweza kupata chochote juu yake "kama kulikuwa na tunda lolote juu yake" # hakupata chochote isipokuwa majani Hii inamaanisha kuwa hakupata mtini wowote. "alipata majani peke yake na hakuna mtini katika mti" # majira "wakati wa mwaka" # Aliuambia, "Hakuna yeyote atakayekula tunda kutoka kwako tena Yesu anauambie kwa mtini na kuulaani. Anazungumza nao ili wanafunzi wake wasikie. # Anauambia mti "Alizungumza na mtu" # Na wanafunzi wake wakasikia Neno "wa" urejea kwa Yesu anazungumza kwa mtini.